Internship 2020

Majina ya Internship Nurses October 2020 Pamoja na vituo vyao

1. MSAJILI WA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA(TNMC) ANAWAPONGEZA KWA HATUA MLIYOFIKIA KATIKA TAALUMA NA SASA MNAKWENDA HATUA NYINGINE YA  KUPATA UMAHILI(COMPETENCES).

2.NINATUMA ORODHA YA MAJINA YENU NA VITUO MBALIMBALI MTAKAVYOFANYA MAZOEZI YA UTARAJALI.

 3.IFIKAPO TAREHE 10/11/2020,WOTE  MNATAKIWA KUWA MMERIPOTI KATIKA VITUO MLIVYOPANGIWA KAMA INAVYOONYESHA KATIKA ORODHA.

4. BARUA ZA KUPANGIWA VITUO, VYETI VYA USAJILI PAMOJA NA LOGBOOK VINATUMWA KATIKA VITUO MLIVYOPANGIWAHIVYO MARA  UFIKAPO KATIKA KITUO CHAKO UNATAKIWA KUWASILIANA NA MKUU WA HUDUMA ZA UUGUZI NA UKUNGA KWA AJILI YA MAELEKEZO

NAWATAKIA UWAJIBIKAJI MWEMA.
MSAJILI

Bonyeza hapa kupakua majina

Contact Address

Kibaha Nurses Resource Centre

P.O.Box 6632

DAR ES SALAAM

Mobile: 0786 785 947

Tel: 022-2121974

Fax: 022-2133975

Email: info@tnmc.go.tz

HQ Contact Address

Kambarage Tower, 5 Floor,

Benjamin Mkapa Road,

P. O. Box 1736,

DODOMA.

Mobile: 0737 962 691

Tel: 262966061/62/63

Email: info@tnmc.go.tz

 

Visitors Counter

Today 71

Yesterday 150

Week 319

Month 2503

All 4874

Currently are 87 guests and no members online

Kubik-Rubik Joomla! Extensions