Chairperson
Registrar
Mwenyekiti wa baraza alitaka baraza kuendelea kusimamia viwango vya taaluma Muuguzi Mkuu wa Serikali awakaribisha Wauguzi na Wakunga wapya katika kada ya Afya. Wauguzi na wakunga wapya 415 wametunukiwa vyeti na usajili na leseni katika
Bi.Salome Kassanga Mkufunzi wa Mafunzo ya chumba cha Upasuaji na Afisa Mwandamizi kutoka TNMC ameyasema hayo wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na uongozi wa mkoa wa Pwani, wakishirikiana na wadau wa Shirika la Korea Foundation for
Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania Bi.Agnes Mtawa, amewapongeza wauguzi viongozi kwa kuendelea kutoa ushirikiano mkubwa katika utendaji wa majukumu ya Baraza katika maeneo yao ya kazi. “Nitumie fulsa hii kuwapongeza kwa kazi
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania(TANNA) Bwana Alexanda Balulya, amesema kuna umuhimu wa kushirikiana katika utendaji kazi wawapo vituo vya kazi na kuiheshimu tasnia ya Uuguzi na Ukunga nchini. “Ubaguzi wakitaaluma hautakiwi katika utendaji kazi,