Tanzania Nursing & Midwifery Council

    


BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA

Habari..TNMC inakujulusha kuwa mtihani wa leseni utafanyika tarehe.12/6/2020 saa moja kamili asubuhi Fika bila kuchelewa katika kituo ulichojiandikisha ukiwa na kitambulisho chako cha aina yoyote,nakala ya malipo ya mtihani, kalamu nyeusi,pencil aina ya HB na ufutio,barakoa.picha mbili pasportsize.Kwa wale ambao hawajajaza fomu uwe na picha NNE zaidi..upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako...aidha namba zimeshatumwa katika vituo...maandalizi mema!!


TANGAZO LA KUAHIRISHA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOKUWA UFANYIKE TAREHE 31/03/2020


TANGAZO LA KUAHIRISHA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI click here to download the file.

KIKAO CHA WAJUMBE WA BARAZA LA TNMC KINACHOENDELEA DODOMA KIKIJADILI MASWALA YAHUSUYO WAUGUZI NA WAKUNGA TANZANIA NA TAARIFA MBALIMBALI ZA KIUTENDAJI.
MITIHANI YA LESENI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA MITIHANI YA KUFUZU MWEZI SEPTEMBA, 2019 NA WANAORUDIA MITIHANI YA LESENI click here to download the file.

BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kuwataarifu kwamba kuanzia tarehe 15/11/2019 huduma zote za Baraza la Uuguzi na Ukunga zilizokuwa zinatolewa kibaha zitaendelea kutolewa katika ofisi zetu za Dodoma, zilizopo PSSSF-Dodoma Plaza, Ghorofa ya 5, Barabara ya Benjamin Mkapa.

Msajili
Baraza la Uuguzi na Ukunga
S.L.P 1736-DODOMA
simu: +255737962691 au +255789785947
Barua pepe: info@tnmc.go.tz


TNMC Resource Centre Project at Kibaha Township – Phase One

Project name:

Construction of TNMC Resource Centre Building on Plot No. 344, 345, 346 and 347 Block ‘A’ Kibaha Township – Phase One.

All procurement protocols have been observed and the following are some contract particulars;

Client: Tanzania Nursing and Midwifery Council, Ministry of Health and Social Welfare, P. O. BOX 6632 Dar es Salaam.

Contractor: J. E Construction Company LTD, P.O.BOX 3577 Dar es Salaam

Consultants:

Lead Consultant and Architects: Ardhi University, P. O. BOX 35176 Dar es Salaam

Quantity Surveyors: Ardhi University, P. O. BOX 35176 Dar es Salaam

Structural and Civil Engineers: ANOVA Consult CO LTD, P. O. BOX 95107 Dar es Salaam

Service Engineers: M.L. Engineering Consultancy LTD, P. O. BOX 70267 Dar es Salaam